Msadi Wa Siasa
[Political Consultant]

Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania hapo Oktoba 2020, nakaribisha maombi ya kutoa huduma za usadi wa siasa (political consulting) katika nyanja za intelijensia/ujasusi, usalama wa mtandaoni, mikakati kwenye mitandao ya kijamii, tafiti, hadhi, na huduma nyinginezo nyingi kwa gharama nafuu. Orodha ya huduma zinazotolewa ipo hapo chini.


  • Kampeni kwa njia ya baruapepe (campaign emails) na vijarida (campaign newsletters) sambamba na kampeni kwenye mitandao ya kijamii.

  • Ushauri kuhusu usalama wa mtandaoni wa chama/mgombea ikiwa ni pamoja na udukuzi wa kimaadili (ethical hacking).

  • Ushauri wa kiintelijensia ikiwa ni pamoja na ujasusi wa kisiasa (political espionage).

  • Utafiti kuhusu mpinzani/wapinzani (oppo research).

  • Menejimenti ya hadhi mtandaoni (online reputation) ikiwa ni pamoja na ukarabati wa hadhi pindi ikichafuliwa (repair reputational damage).

  • Kura za maoni na tafiti za kisiasa.

  • 'Lobbying' kimataifa ikiwa ni pamoja na kuwezesha mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa.

  • Huduma 'bespoke' (kulingana na mahitaji ya mhusika).

( Made with Carrd )